Online users now: 808 (members: 562,
robots: 246)
"TINGA NA YESU" has reached
1.4K total views,
90 likes,
and dislikes on YouTube.
The song has been submitted on
19/01/2023
and spent weeks on the charts.
The original name of the music video "TINGA NA YESU" is "ANNOINT AMANI - TINGA NA YESU ( OFFICIAL AUDIO )".
"TINGA NA YESU" has been published on Youtube at 19/01/2023 15:00:11
#TinganaYesu#swahiligospel#
Tinga na Yesu inapatikana kwenye Digital Platform zote,
????
Wimbo huu ni ujumbe unao tufundisha kumsikiliza zaidi Roho mtakatifu katika uvaaji wetu,
maana katka Ukristo kuna tofaut kubwa sana ya msimamo kuhusu mavazi na mapambo kwa ujumla,
Unaweza ukashindwa usimame upande gani,kwa sababu misimamo tofaut unayokutana nayo,
Lakini ashukuliwe Mungu tunae Roho mtakatifu anaejua zaidi kutufundisha mipaka yetu katika kila kitu,
ukimsikilza Roho hakuna Hukumu kwako kabisa,hata kama wengine watakupinga,wewe simama na lile ulilopewa na Roho wa Mungu bas,
lakini usifanye mwenyewe kwa akili,
ukifanya mwenyewe kwa akili zako,Ujue ni hukumu tu ina kungoja kwa kuharbu mwili wa kristo????????
Annoint amani,
Song,Tinga na Yesu
;TONES STUDIO
PROD BY MEDDY,
LANGUAGE SWAHILI
Tiktok,Annoint amani tz,
Instagram,Annoint Amani tz,
+255767240181= +255755099942
Dar es Salaama Tanzania )